Suche einschränken:
Zur Kasse

1 Ergebnis.

Piga Bongo

Saffari, A. J.
Piga Bongo
Mayalla ni wakili mashuhuri lakini amezungukwa na jamiiiliyomkaba kama ukono. Yeye angependa kuishi safi safina lakiniwakubwa wake kazini, wadogo wake, mkewe na hata abiriaanaosafiri pamoja nao katika daladala moja wana tofauti naye, wote ni kama kaniki. Hawabadiliki na kutenda hata chembe yauadilifu. Ni waovu kinehe! Si maadili katika ndoa, si biashara, simaamuzi ya mahakamani, yote ni hali moja, tenge tahanani. Je, Mayalla ataiacha kazi ya s...

CHF 37.90